al shabaab

al shabaab

Je, Magaidi Sasa Wameanza Kuhamia Mashambani?

2d ago
SOURCE  

Description

Shambulizi katika maeneo ya Garrisa liliwaacha watu zaidi ya kumi na wawili na majeraha na sasa duru kutoka kwa kitengo cha ujasusi zinadokeza kuwa wanamgambo wa Al Shabaab wametorokea miji midogo humu nchini baada ya kuzidiwa nguvu na serikali katika maeneo ya Pwani mwa Kenya na maeneo ya Eastleigh hapa Nairobi.