somalia

somalia

Taswira mpya ya Somalia: Wenyeji warejea nyumbani na kujihusisha na uwekezaji

4h ago
SOURCE  

Description

Mji wa Somalia umekuwa na msukosuko wa kiusalama kwa mda wa miaka 23. Ni hali iliyopelekea mamia wa watu kupoteza maisha huku neno amani likiwa ni msamiati usiotambulika kwa raia wa nchi hii lakini taswira hii huenda ikabadilkia kutokana na kuwa baadhi ya wenyeji wa taifa hili wamenaza kurejea nyumbani na kujihusisha na uwekezaji. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya