raila odinga

raila odinga

ZIARA YA RAILA MAGHARIBI : Polisi wafyatua risasi hewani kuzima fujo sokoni Shibale

7h ago
SOURCE  

Description

Maafisa wa polisi walilazimika kufyatua risasi hewani hii leo, baada ya kundi moja la vijana waliojawa na ghadhabu kufunga barabara ya Kakamega kuelekea Bungoma katika soko la Shibale, mahali ambapo kinara wa CORD Raila Odinga alitarajiwa kuhutubia wenyeji… Vijana hao walikuwa wakilalamikia kutengwa na Odinga, na kumuelekezea kidole cha lawama kuhusiana na masaibu yanayokikumba kiwanda cha sukari cha Mumias. Odinga hakufika katika soko hilo la Shibale, na akafululiza kadi katika eneo la Shianda, ambapo aliwataka wenyeji kutoyumbishwa na serikali ya Jubilee, akisema imelitenga eneo hilo