mwai kibaki

mwai kibaki

Kibaki atunukiwa shahada ya uzamifu

3d ago
SOURCE  

Description

Tangu kustaafu kwa rais wa tatu wa jamhuri ya kenya Mwai Kibaki , amekuwa akitunukiwa kemkem, na huenda ukasamehewa ukidhani kuna mashindano ya nani atamtuza zawadi nono. Jana ilikuwa ni mkongojo, leo ilikuwa shahada ya uzamifu- kutoka chuo kikuu cha dedan kimathi. Lakini kama anavyoripoti carol nderi, kibaki aliipokea shahada hiyo, namna kibaki tu anavyoweza kuipokea. Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya