guardian angel

guardian angel

REJEA by GUARDIAN ANGEL (Official music Video)

4d ago
SOURCE  

Description

artist. Guardian Angel Audio. Teddy b video. Link video Global #7heaven music project.. lyrics mpiga ngumi ukuta mwenyewe naumia ni vya nini vioja eeh bwana tulia. haja gani kungoja wakati unaumia uchungu mwingi unaupitia unavumilia yupo bwana yuangoja atakupokea kwa wanaojua umekosa atakutetea ameziba sikio wano kusemea hiyo mizigo ilo mizito atakubebea cho rejea atakupoke na ya pili nafasi atakupatia ingawa body hekalu umelichafua kwa zake nyingi rehema anasamehea fadhili zake ni za milele namsifia yake macho naona unayo pitia yakidondoka machozi atakufutia naikutoshe neema ukimsogea hiyo mizigo ilo mizito atakubebea. cho rejea atakupokea.