fred

fred

Shule ya upili ya Nyamanche yachomeka tena kwa mara ya pili

17m ago
SOURCE  

Tags

Description

Saa chache baada ya waziri wa Elimu Daktari Fred Matiang’i kuzuru shule ya upili ya wavulana ya Nyamanche na kutoa amri kali kwa wanaochoma shule, sasa shule hio imesemekana kuchomeka tena kwa mara ya pili usiku wa Jumatatu (27th June 2016) Wakati huo huo shule ya upili ya Nturiri kaunti ya Tharaka Nithi ilichomeka Jumatatu usiku. Na kama anavyotuarifu Daniel Kariuki haya yanajiri huku wanafunzi watatu wa shule ya upili ya wasichana ya Omobera wakikamatwa.